Friday, June 19, 2015

LISTEN, EXCLUSIVE INTERVIEW FROM DIAMOND PLATNUMZ THROUGH KAYA RADIO

Nasib Abdul aka Diamond Platnumzamebahatika kufanya mahojiano kwenye moja ya Radio nchini Afrika Kusini, Radio Kaya FMiliyopo nchini huko akiwa na Donald.
Mtangazaji wa show hiyo ameshangaa kuonaDiamond Pltnumz ni Mtanzania kutokana na anacho kifanya kuonekana kina nguvu kama ilivyo mziki wa Nigeria.

Katika mahojiano hayo, Diamond na Donaldwamepata nafasi ya kuzungumzia collaboration yao waliyo ifanya usiku wa kuamkia leo kuwa soon itatoka maana tayari wameshaingiza sauti studio.
Enjoy mahojiano hayo na furahiya jinsi Diamondanavyofunguka kingereza kizuri.

0 comments:

Post a Comment