Tuesday, July 7, 2015

Cristiano Ronaldo kaokota simu, ilimfikia mwenye nayo?

Cristiano-Ronaldo-Wallpaper..1
Dada mmoja aitwaye Austin Milan jana usiku ametoa story moja nzuri sana kuhusu nahodha wa Ureno, Cristiano Ronaldo… Austin kwa sasa yuko Marekani kwenye mapumziko yake tu.
Austin anasema ilitokea bahati mabaya akapoteza simu yake akiwa Las Vegas, kwa bahati nzuri simu yake iliokotwa na mshambuliaji wa Real MadridCristiano RonaldoRonaldo alihakikisha kwamba hiyo simu hiyo inamfikia mwenye nayo ambaye ni Austin.
Cristiano hakuishia hapohapo, alimwalika pia Austin kula nae chakula cha usiku.
   

0 comments:

Post a Comment