Wednesday, July 8, 2015

Barakah Da Prince kaachia ngoma nyingine ambayo ndani yake amemshirikisha Ruby- ‘Nitavumilia’ (Audio)

unnamed
Mwaka 2015 jina la Barakah Da Prince, mkali wa Bongo Fleva ambae anaiwakilishaRock City Mwanza limepaa kwa nguvu kubwa sana, hits zake zimegusa kila kona.. Watu wakaweka kura nyingi kwenye KTMA 2015 category ya Msanii Bora Chipukizi, na Tuzo ikaenda kwake pia.
Hajatulia kusubiri mambo yapoe, katoa ngoma nyingine mpyampya na imenifikia tayari.. Kapewa collabo mrembo ambaye na yeye ana hit ambayo inafanya poa sana,SuperNyota Diva wa 2014Ruby.
Barakah Da Prince Feat. Ruby– ‘Nivumilie’, unaweza kuisikiliza hapa mapema kabisa mtu wangu.. ruksa pia kushare na mtu wako wa nguvu isimpite.

0 comments:

Post a Comment