Tuesday, July 7, 2015

Rock City Mall ya Mwanza Imefikia hapa, litaanza kazi muda wowote..

Screen Shot 2015-07-07 at 1.24.02 PM
Katikati ya Jiji la Mwanza kiko hiki kitu kizuri, kama uliwahi kupitia millardayo.com basi huenda uliwahi kukutana na pichaz zikionesha ‘Mlimani City ya Mwanza‘ ikiwa kwenye ujenzi.
Kazi imefikia pazuri, miezi michache ijayo ukirudi Mwanza utaikuta Mwanza iliyo na kitu kingine kizuri cha kuvutia, Rock City Mall inaanza kazi muda wowote mtu wangu.
Screen Shot 2015-07-07 at 1.24.10 PM
Screen Shot 2015-07-07 at 1.24.18 PM
Screen Shot 2015-07-07 at 1.24.25 PM

Screen Shot 2015-07-07 at 1.24.42 PM

Screen Shot 2015-07-07 at 1.24.49 PM

Screen Shot 2015-07-07 at 1.24.57 PM
Screen Shot 2015-07-07 at 1.25.05 PM

0 comments:

Post a Comment