Showing posts with label sports. Show all posts
Showing posts with label sports. Show all posts

Tuesday, July 7, 2015

Bondia Bingwa wa dunia wa uzani wa Welter Floyd Mayweather amepokonywa taji alilomshinda Pacquiao


Mmarekani huyo mwenye umri wa miaka 38 anadaiwa kushindwa kuilipa shirikisho la ndondi la WBO ada ya dola laki mbili $200,000 kabla ya makataa aliyopewa ya tarehe 3 Julai.

Mayweather alitakiwa pia kutoa ukanda wa chipukizi wa WBO punde baada ya kumshinda mfilipino Pacquiao kwa wingi wa alama. Kufuatia kauli hiyo ya shirikisho la ndondi la WBO, Mayweather hatambuliwi tena kama mshikilizi wa taji hilo.

Taji hilo linashikiliwa na Mmarekani mwenza Timothy Bradley.
Yamkini Mayweather alikuwa ameiahidi WBO kuwa akimshinda Pacquiao,angevua mataji yote ya vijana ilikuwapa mabondia wapya fursa ya kuwania mataji hayo lakini hadi kufikia sasa hajafanya hivyo.

Taarifa yao iliyochapishwa katika mtandao wa wboboxing.comimesema kuwa ''hatukukuwa na lingine baada ya Mayweather kushindwa kutekeleza matakwa yetu.kwa hivyo hatutamtambua mayweather kama mshikilizi wa ukanda huo wa Welter''

Hata hivyo Mayweather, ambaye ndiye anayeshikilia mataji ya WBA na WBC ana hadi julai tarehe 20 kukata rufaa ya kauli hiyo.
Mayweather anatarajiwa kuandaa pigano lingine mjini Las Vegas tarehe 12 Septemba, japo haijabainika atazichapa dhidi ya nani.
Wakati hayo yakijiri WBO inapanga pigano la welter linalopangwa kufanyika tarehe 27 kati ya Bradley na Jessie Vargas.

Cristiano Ronaldo kaokota simu, ilimfikia mwenye nayo?

Cristiano-Ronaldo-Wallpaper..1
Dada mmoja aitwaye Austin Milan jana usiku ametoa story moja nzuri sana kuhusu nahodha wa Ureno, Cristiano Ronaldo… Austin kwa sasa yuko Marekani kwenye mapumziko yake tu.
Austin anasema ilitokea bahati mabaya akapoteza simu yake akiwa Las Vegas, kwa bahati nzuri simu yake iliokotwa na mshambuliaji wa Real MadridCristiano RonaldoRonaldo alihakikisha kwamba hiyo simu hiyo inamfikia mwenye nayo ambaye ni Austin.
Cristiano hakuishia hapohapo, alimwalika pia Austin kula nae chakula cha usiku.
   

Monday, June 15, 2015

NBA; Golden State Warriors Beat Cleveland Cavaliers In Game 5 Of NBA Finals


The Cleveland Cavaliers and the Golden State Warriors faced off in the NBA Finals yet again on June 14, and Game 5 of the series determined who would take the new lead in the tournament. After a hard fought battle, Golden State Warriors beat the Cleveland Cavaliers!
After the Golden State Warriors tied up the NBA Finals with Cleveland Cavaliers in Game 4, it was inevitable that Game 5 would be one electrifying game. LeBorn James,  30, and Stephen Curry,  27, came face-to-face again on June 14, and it was Golden State who reigned supreme. The Warriors snagged a 104-91 victory over the the Cavaliers. Way to go, Golden State!

The first quarter tipped off, and almost immediately the Warriors signaled their intent by racing into an early 6-point lead. But Lebron, and the Cavaliers showed their fighting spirit to weather the storm and both teams ended the first quarter level at 22 points each.
And there was hardly anything to separate these two in the second quarter, even when the Warriors scored 8 consecutive points. The Cavaliers rallied, thanks to Lebron who  had already scored 34 points at this point, as the Warriors held the slightest of leads – 51-50 at halftime.
In the third quarter, the Warriors began to show their strength in numbers – managing to limit the Cavaliers with some fine defense. In fact, the Cavaliers only scored 17 points in the third, as they trailed by 6 points at the end – as the clock ran out it was 73-67 in the Warrior’s favor.
Lebron and Curry went head-to-head in the first with two  big 3-point plays. First, Lebron sank one from downtown to bring the Cavaliers to within 1 point. However, a Curry 3-pointer, followed by a Klay Thompson, 25, shot from distance gave the Warriors a 5-point lead. And the momentum continued for the Warriors as Curry turned on the style to lead his boys to a 104-91 win.
The Warriors clinched the first win in the series in Game 1 on June 4. However, LeBron and the Cavs came roaring back in Game 2 and Game 3. Their two consecutive wins put the Warriors in a tricky situation. Game 4 was key for the Warriors. Steph and his team fought valiantly for a 103-82 victory over the Cavaliers in Game 4 on June 11. But that’s not all that went down in Game 4.